sw_tn/deu/28/25.md

582 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa viko kwenye umoja.

Yahwe atakusababishia upigwe mbele ya maadu zako

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Yahwe atasababisha maadui zako kukupiga wewe chini"

utakimbia mbele zao kwa njia saba

Hii ina maanisha Waisraeli wataogopa na hofu na kukimbia kutoka kwa maadui zao.

njia saba

"kwa pande nyingi tofauti"

Utapelekwa huku na kule miongoni mwa falme

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Watu wa mataifa mengine watawaondoa toka tafaifa moja kwa jingine"