sw_tn/deu/28/09.md

560 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja.

Yahwe atakuanzisha wewe kama watu ambao wametengwa kwa ajili yake

Yahwe kuchagua watu wa Israeli kuwa wake kwa njia maalumu husemwa kama Yahwe amewaweka katika eneo tofauati kutoka eneo la mataifa mengine yote yanaoishi humo. "Yahwe atakufamya wewe kuwa watu watakatifu ambao ni wake"

mnaitwa kwa jina la Yahwe

Hapa maneno "kuitwa kwa jina la Yahwe" inamaanisha kuwa wake. Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Yahwe amewaita wake"