sw_tn/deu/27/13.md

160 B

mlima Ebali

Haya ni maneno ya milima iliyo upande wa magharibi wa Mto Yordani.

kutamka laana

"kusema kwa sauti kuu jinsi Yahwe atakavyokulaani Israeli"