forked from WA-Catalog/sw_tn
1.0 KiB
1.0 KiB
Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
Kumbuka ni jambo gani Amaleki alichofanya kwako
Hii ni lahaja, na "Amaleki" ni lugha nyingine kwa ajili ya watu wa Amaleki. "Kumbukeni kile Waamaleki walichowafanyia"
ulipokuwa ukitoka
Neno "ukitoka" hapa ni katika wingi.
jinsi alivyokutana na wewe barabarani
"jinsi walivyokutana na wewe njiani"
na kuwashambulia kati yenu kwa nyuma
"na kushambulia wale watu wenu waliokuwa mstari wa nyuma"
wale waliokuwa wamelegea nyuma
"watu wote waliokuwa dhaifu nyuma ya mstari"
dhaifu na kuchoka
Maneno haya yana maana moja na yanasisitiza jinsi watu walivyokuwa wamechoka. "kuchoka na kuchoka kabisa"
hakumheshimu Mungu
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "hakuwa anaogopa adhabu ya Mungu" au "hakumheshimu Mungu"
unapaswa kufuta kumbukumbu ya Waamaleki chini ya mbingu
"unatakiwa kuwaua Waamaleki wote ili kwamba hakuna yeyote atakayewakumbuka tena"