forked from WA-Catalog/sw_tn
557 B
557 B
haruhusiwi kuwa miongoni mwa kusanyiko la Yahwe
Hii ni lahaja. "hawezi kuwa mshiriki kamili wa jamii ya Israeli"
kutoka hadi kizazi cha kumi cha uzao wake
Hii "kumi" ni mpangilio wa nambari kwa ajili ya kumi. "hata baada ya kizazi cha kumi cha uzao wake"
hawaku kutana nanyi kwa mkate na maji
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "hawaku kukaribisha kwa kukuletea chakula na kinywaji"
dhidi yako ... awalaani
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.