forked from WA-Catalog/sw_tn
1003 B
1003 B
kama kunapatikana miongoni mwenu
Hii inaweza kusemwa kwa kauli tendaji. "Kama unampata mtu" au "Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu"
ndani ya malango ya mji wenu wowote
Hapa "malango" uwakilisha miji. "kuishi kwenye moja ya miji yenu"
Je, ni jambo baya machoni pa Yahwe Mungu wako
Hapa, "machoni pa Yahwe" umaanisha nini Yahwe azingatia au kufikiri kuhusu kitu fulani. "kitu fulani ambacho Yahwe Mungu hufikiri ni kiovu"
huvujika kwa agano lake
"kutotii agano lake"
yeyote ambaye ameshaenda
"kama unamkuta yoyote ambaye ameshaenda"
yeyote wa jeshi la mbinguni
"nyota yoyote"
hakuna kitu nilichokuamuru
"ambayo sijamwamuru yoyote kufanya"
ikiwa umeambiwa juu ya hili
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo tendaji. "kama mtu anakuambia kuhusu hili tendo la kutotii"
fanya uchunguzi wa makini
Jina dhahania "uchunguzi" inaweza kusemwa kama kitenzi. "unapaswa kwa uangalifu uchunguzi kilichotokea"
Hitilafu hiyo imefanywa nchini Israeli.
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi.