forked from WA-Catalog/sw_tn
41 lines
1.2 KiB
Markdown
41 lines
1.2 KiB
Markdown
# Habari ya jumla
|
|
|
|
Musa aendelea kuzungumza kwa watu wa Israeli.
|
|
|
|
# Ikiwa inainuka kati yenu
|
|
|
|
"Ikiwa inatokea miongoni mwenu" au "Ikiwa mmoja miongonu mwenu anadai kuwa"
|
|
|
|
# mwotaji wa ndoto
|
|
|
|
Huyu ni yeyote ambaye anapokea ujumbe toka kwa Mungu kupitia ndoto.
|
|
|
|
# ishara au maajabu
|
|
|
|
Haya ni maneno mawili yaliyo na maana ya kufanana na urejea kwa miujiza tofauti.
|
|
|
|
# inakuja kuhusu
|
|
|
|
"inafanyika" au "hutokea"
|
|
|
|
# ambayo alikuambia na akasema, 'hebu tufuate miungu mingine ambayo hamjui na tuiabudu.
|
|
|
|
Hii inaweza kutofasiriwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.
|
|
|
|
# Hebu tufuate miungu mingine.
|
|
|
|
Kuabudu miungu mingine huzungumzwa kama walikuwa wanaifuata au kufuata miungu mingine.
|
|
|
|
# kufuata miungu mingine, ambayo hamjaijua
|
|
|
|
Maneno "miungu, ambayo hamjaijua" urejea kwa miungu ambayo makundi mengine ya watu kuabudu. Waisraeli wamjua Yahwe kwa sababu amejifunua mwenyewe kwao na wamepata udhoefu wa nguvu zake.
|
|
|
|
# usisikilize maneno ya nabii, wala ya mwotaji wa ndoto
|
|
|
|
Hapa "maneno" uwakilisha kilichosemwa.
|
|
|
|
# kwa moyo wako wote na roho yako yote
|
|
|
|
Hii ni nahau "kwa moyo wako wote" inamaanisha "kabisa" na "kwa ...roho" inamaanisha "kwa uzima wako wote. Haya maneno yana maana ileile.
|
|
|