sw_tn/deu/11/13.md

659 B

Itatokea, kama

Hii ina maana kwamba kile Yahwe anachoahidi kitatokea kama wanaisraeli wanatii amri zake.

ambayo nakuamuru

Hapa "na" urejeaa kwa Musa.

kwa moyo wako wote na roho yako yote

Hii nahau "kwa moyo wako wote" umaanisha "kabisa" na "kwa ...roho" umaanisha "na utu wako wote" Haya makundi ya maneno yana maana ileile.

Nitatoa mvua kwa nchi yenu kwa majira yake

"Nitasababisha inyeshe kwenye nchi yenu kwa majira sahihi"

Nitatoa

Hapa "ni" urejea kwa Yahwe. Hii inaweza kutajwa katika nafsi ya tatu.

mvua ya awali na mvua ya badae

Hii urejea kwa mvua za mwanzo wa majira ya kupanda na mvua za kukomaza mazao kwa ajili ya mavuno.