sw_tn/deu/09/25.md

516 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israeli kuhusu kile kilichotokea zamani.

lala kifudifudi mbele ya Yahwe

"lala pamoja na uso kuelekea kwenye ardhi."

siku arobaini na usiku arobaini

"siku 40 na usiku 40"

umekwisha okoa

Musa azungumza kama Yahwe amekwisha kuwaokoa wanaisraeli kwa kulipa pesa kuwaweka huru kutoka utumwani.

kupitia ukuu wako

Neno "ukuuu" ni mbadala wa maneno kwa ajili ya nguvu kuu ya Yahwe.

kwa mkono hodari

Hapa "mkono hodari" urejea kwa nguvu ya Yahwe.