sw_tn/deu/08/01.md

29 lines
517 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja
# Unapaswa kushika...uweze kuishi na kuongozeka, na kuingia ndani na kumiliki...baba zenu
Mifano yote ya "wewe" na "yako" na vitendo viko kwa wingi
# miaka arobaini
"miaka 40"
# apate kuwanyenyekeza
"apate kuwaonyesha ninyi namna mlivyo dhaifu na wenye dhambi"
# Utafakari akilini
Hii ni nahau. "Unapaswa kukumbuka"
# kujua
"kudhihirisha" au "kuonyesha"
# nini kilikuwa katika moyo wenu
Moyo ni ishara ya tabia ya mtu.