forked from WA-Catalog/sw_tn
474 B
474 B
Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli walikuwa mtu mmoja.
wasikilize wao
Hapa "wasikilize" ina maana kutii, na "wao" urejea kwa amri za Yahwe. Maana kamili ya maelezo haya yanaweza kufanya wazi. "sikiliza amri za Yahwe, sheria na amri"
kuwatii wao
"watii wao"
nchi itiririkayo maziwa na asali
Hii ni nahau. "nchi ambako maziwa na asali ya wingi utiririka" au " nchi ambayo iko vizuri kwa mifugo na kilimo"