sw_tn/deu/05/17.md

13 lines
279 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako" ni umoja
# Hautazini
"Hautalala na yoyote tofauti na mwenzi wako"
# Hautashuhudia uongo dhidi ya jirani yako
"Hautasema uongo kuhusu mtu yeyote"