sw_tn/deu/05/07.md

418 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuwakumbusha watu kile Yahwe amewaamuru. Maneno "uta" na "hauta" amriwa. Anazungumza na wanaisraeli kama vile walikuwa mtu mmoja.

Hamtakuwa na miungu mingine mbele zangu

"Haupaswi kuabudu miungu yoyote lakini mimi"

hiyo iko chini ya dunia, au hiyo iko chini ya maji

Hii inaweza kufanywa kwa uwazi. "kwamba iko katika dunia chini ya miguu, au iko kwenye mahi chini ya dunia"