sw_tn/deu/05/04.md

426 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

ana kwa ana

Tumia lugha ya mifano kwa watu wawili ambao wana karibiana na kutazamana wakati wanazungumza wao kwao wao.

juu ya mlima

"juu ya mlima"

kwa wakati huo

Musa anarejea kwa tukio ambalo lilitokea yapata miaka 40 ya mapema.

nje ya nyumba ya utumwa

Hapa maneno "nyumba ya utumwa" urejea kwa Misri ambako watu wa Israeli walikuwa watumwa.