forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
541 B
Markdown
13 lines
541 B
Markdown
# Taarifa ya ujumla
|
|
|
|
Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo mifano yote ya "wewe" na amri "uliza sasa" ni umoja.
|
|
|
|
# Imeshawahi watu kusikia ya Mungu anazungumza katikati mwa moto, kama umekwisha sikia, na kuishi?
|
|
|
|
Hapa watu wa Israeli wanakumbushwa kwa namna Yahwe amezungumza nao kwa njia ya ajabu siku za nyuma. Hili swali linaweza kutofasiriwa kama maelezo.
|
|
|
|
# sikiliza sauti ya Mungu anazungumza
|
|
|
|
Neno "sauti" ni maneno kwa ajili ya Mungu, alikuwa anazungumza. "Sikiliza sauti ya Mungu azungumzapo"
|
|
|