sw_tn/deu/04/27.md

552 B

Taarifa ya ujumla

Musa aendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

Yahwe atawatawanyisha miongoni mwa watu

Musa anazungumza kama watu walikuwa mbegu ambayo Yahwe ataitawanyisha kuzunguka eneo. "Yahwe atawatuma ninyi kwa maeneo mengi tofauti na kuwalazimisha kuishi huko"

atawaongoza mbali

"atawatuma" au "atasababisha adui zenu kuwapeleka mbali"

kazi ya mikono ya watu, mbao na mawe

Hapa "mikono ya watu" urejea kwa wanaume wenyewe, na "kazi...mbao na mawe" kwa sanamu ambazo wamezichonga. "sanamu za mbao na mawe ambazo wanaume wamefanya"