sw_tn/dan/08/13.md

21 lines
456 B
Markdown

# mtakatifu mmoja
"malaika"
# ukabidhiajia wa sehemu takatifu
"kutiisha sehemu takatifu"
# jeshi la mbinguni kukanyagwa
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "pembe ilikanyaga juu ya jeshi la mbinguni"
# jioni na asubuhi zipatazo 2,300
Mahali hapa maneno "jioni na asubuhi" yanarejelea kila kitu kilicho katikati yake, iliyo na maana ya siku kamili.
# mahali patakatifu patawekwa sawa.
"hekalu litasafishwa na kuwekwa katika utaratibu tena. "