sw_tn/dan/03/24.md

13 lines
323 B
Markdown

# Je hatukutupa watu watatu wakiwa wamefungwa katika moto?
"Tuliwatupa watu watatu katika moto wakiwa wamefungwa, sawa?"
# Mng'ao wa mtu wa nne ni kama
"Mtu wa nne anatao mng'ao mkali"
# kama mwana wa miungu."
miungu iliaminika kuwa ilikuwa iking'aa sana kwa mwanga. "Mtu wa nne anang'aa sana kama ing'aavyo miungu."