875 B
kuhamisha, uhamisho
Neno "uhamisho" hurejea kwa watu kulazimishwa mahali fulani mbali kutoka nyumbani kwao.
Damaskasi
Damaskasi ni mji mkubwa wa nchi ya Siria. Bado upo katika sihemu hiyo hiyo kama ilivyokuwa katika nyakati za Biblia.
Yahwe
Neno "Yahwe" ni jina binafsi la Mungu ambalo alijifunua wakati alipoongea na Musa katika kicha kilichokuwa kikiteketea.
Yahwe wa majeshi, Mungu wa majeshi, jeshi
Maneno "Yahwe wa majeshi" na "Mungu wa majeshi" kidogo yanaonyesha kwamba mamlaka ya Mungu zaidi ya maelfu ya malaika wanaomtii. *Neno "jeshi" au "majeshi" ni neno ambalo linarejea kwa hesabu kubwa ya kitu, kama jeshi la watu au namba kubwa ya nyota. *Katika Agano Jipya, kirai, "Bwana wa majeshi" inamaanisha kitu kile kile kama "Yahwe wa majeshi" lakini haiwezi kutafsiriwa kwa njia hiyo kwani neno la Kiebrania "Yahwe" halikutumika katika Agano Jipya.