forked from WA-Catalog/sw_tn
37 lines
904 B
Markdown
37 lines
904 B
Markdown
# Nakiri hili kwenu
|
|
|
|
"Mimi nakiri hili kwako" au "ninatubu hili kwako"
|
|
|
|
# wanaita dini
|
|
|
|
"wanaita kundi la wazushi"
|
|
|
|
# kwa namna ile namtumikia Mungu wa babu zetu
|
|
|
|
Hii inamaana kwamba Paulo anadai kufuata dini ya kale, ambayo kwa ufafanuzi si dini mpya, "madhehebu."
|
|
|
|
# kama watu hawa
|
|
|
|
Hapa "watu hawa" inahusu Wayahudi ambao ndio wanamtuhumu Paulo mahakamani.
|
|
|
|
# ufufuo ujao wa wafu....kwa wote wenye haki na wasio na haki.
|
|
|
|
neno "ufufuo" linaweza kutumika kama "Kurudishwa katika maisha na Mungu." Na, neno "wafu" linaweza kuwa "wale waliokufa." "wakati Mungu akiwarudisha katika uhai wale wote waliokuwa wamekufa"
|
|
|
|
# wasio wa haki
|
|
|
|
"wale waliofanya mambo mabaya"
|
|
|
|
# Nafanya kazi
|
|
|
|
"Nafanyakazi vizuri"
|
|
|
|
# kuwa na dhamiri bila lawama
|
|
|
|
Hapa "dhamiri" inahusu maadili ndani ya mtu kuwa akiamua kati ya mema na mabaya. "kuwa bila lawama" au "daima kutenda haki"
|
|
|
|
# mbele za Mungu
|
|
|
|
"Katika uwepo wa Mungu"
|
|
|