forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
533 B
Markdown
17 lines
533 B
Markdown
# aliuliza mkoa gani Paulo alikotokea
|
|
|
|
"Alimwuliza Paulo mkoa gani aliotokea?"
|
|
|
|
# Alipojua kwamba alikuwa ametoka mkoa wa Kilikia, alisema
|
|
|
|
"wakati liwali alipotambua kuwa Paulo alikuwa ametoka mkoa wa Kilikia, liwali alisema." Hii yaweza tajwa kama nukuu ya moja kwa moja. "Paulo alisema, 'Mimi nimetokea Kilikia.' Kisha liwali akasema"
|
|
|
|
# Nitasikia kutoka kwako kikamilifu
|
|
|
|
"Nitakusikiliza kwa yale yote utakayo yasema"
|
|
|
|
# akaamuru awekwe
|
|
|
|
Hii inaweza ikasemwa: "akaamuru askari amweke Paulo" au "akamwamuru askari amtunze Paulo"
|
|
|