sw_tn/act/21/37.md

33 lines
1.0 KiB
Markdown

# Paulo alipokuwa analetwa
"askari walipokuwa tayari kuleta Paulo"
# Ngome
ngome ilikuwa imeunganishwa na uwanda wa nje wa hekalu
# mkuu wa kikosi cha ulinzi
afisa wa jeshi la Kirumi wa askari wapatao 600.
# Je, unajua Kiyunani? Wewe si yule Mmisri ambaye awali aliongoza uasi na alichukua magaidi elfu nne nyikani?
Mkuu wa jeshi anatumia maswali haya kueleza mshangao kwamba Paulo si yule aliyemdhani kuwa. Nilifikiri kuwa ni yule Mmisri ambaye aliongoza uasi katika jangwa na magaidi elfu nne."
# wewe si yule Mmisri
Muda mfupi kabla ya ziara ya Paulo, mtu asiyejulikana jina kutoka Misri, alikuwa akizindua uasi dhidi ya Rumi katika Yerusalemu. Baadaye alitorokea "jangwani," 'na kamanda anashangaa kama Paulo atakuwa ndiye na mtu huyo.
# aliongoza uasi
Neno "uasi" linamaanisha watu waliasi na kwenda kinyume na serikali ya Rumi"
# magaidi elfu nne
"4000 watu wanaoua na kuwadhuru wengine wale wasiokubaliana nao"
# magaidi
Ni wale Wayahudi walioiasi serikali ya Rumi na kuanza kuwauaWarumi na kila mmoja ambaye aliyeunga mkono serikali ya Kirumi.