sw_tn/act/18/04.md

25 lines
756 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Sila na Timotheo walioungana na Paulo
# Kwahiyo Paulo akajadiliana
Hapa "kujadiliana" inamaanisha Paulo alikuwa na maongezi ya pande mbili". "kwa hiyo walijadiliana"
# Aliwashawishi
"aliendelea kujaribu kuwashawishi"
# Paulo alisukumwa na Roho
Paulo alizidi kusukumwa na Roho.
# akakung'uta vazi lake
Hii ni hatua ya mfano zinaonyesha kwamba Paulo alikata mahusiano na Wayahudi wasioamini na kuwaacha kwa hukumu ya Mungu.
# Damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu wenyewe
Hapa "damu" inalinganishwa na adhabu ya dhambi. Paulo anawaambia Wayahudi hao kuwa watawajibika kwa ajili ya hukumu watakayokabiliana nao kwa sababu ya ukaidi wa kukataa kutubu. "Ninyi peke yenu mtabeba jukumu la adhabu yenu kwa ajili ya dhambi zenu".