forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
870 B
Markdown
29 lines
870 B
Markdown
# Waepikureo na Wastoiko.
|
|
|
|
Watu hawa waliamini mambo yote yalifanywa kwa bahati na kwamba miungu walikuwa na shughli zao na walifurahi kutobuguziwa katika kuiongoza ulimwengu. Walikataa ufufuo na walitaka maisha rahisi ya raha pekee.
|
|
|
|
# Wanafalsafa wa Wastoiko
|
|
|
|
Watu hawa waliamini uhuru unatokana na kujiwekea mwenyewe hatima yako. Walikataa Mungu anayependa binafsi na ufufuo.
|
|
|
|
# wakamkabili yeye
|
|
|
|
"walimkabii Paulo"
|
|
|
|
# na baadhi wakasema
|
|
|
|
"na baadhi ya wanafilosofia wakasema"
|
|
|
|
# Ni nini huyu msengeaji
|
|
|
|
'Babbler' ilitumika kwa kutaja ndege kuokota mbegu kama chakula. Ilihusu ubaya wa wasengenyaji. Wanafalsafa walisema Paulo alikuwa na baadhi ya habari ambazo hazikuwa na thamani ya kusikiliza
|
|
|
|
# wengine wakasema
|
|
|
|
"Wanafilosopha wengine wakasema"
|
|
|
|
# Inaonekana ni muhubiri
|
|
|
|
"Inaonekana ni mtu ayetangaza " au "anaonekana yuko katika umisheni wa kusambaza habari'
|
|
|