sw_tn/act/16/06.md

17 lines
252 B
Markdown

# Firigia na Galatia
Haya ni majimbo huko Asia
# walikatazwa na Roho Mtakatifu
"Roho Mtakatifu aliwakataza wao" au " Roho Mtakaifu hakuwaruhusu"
# Misia....Bithinia
Haya ni majimbo mengine mawili zaidi huko Asia
# Roho wa Yesu
"Roho Mtakatifu"