sw_tn/act/14/27.md

13 lines
395 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Waliofika Antiokia na kutoa taarifa ni Paulo na Barnaba. Aliyefungua mlango ni Mungu.
# kusanya kanisa pamoja
"wakawaita waumini wa palepale kukusanyika pamoja"
# alifungua mlango wa imani kwa Mataifa
Mungu kuwawezesha Mataifa kuamini inazungumziwa kana kwambaaliwafungulia mlango uliokuwa unawazuia kuingia katika imani. "Mungu alifanye iwezekane kwa Mataifa kuamini"