sw_tn/act/13/04.md

33 lines
930 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Luka anandika kuwaelezea Barnaba na Sauli
# Sasa
Neno hili linatambulisha tukio lililotendeka kwasababu ya lile lililokuwa limetangulia kutukia. Tukio la mwanzo lilikuwa la kutengwa na Roho Mtakatifu kwa Barnaba na Sauli
# walitelemka
Neno "Kutelemka" linatumika hapa kwasababu Seleukia ni mji ulio chini zaidi ya Antiokia.
# Seleukia
Mji ulio kandokando ya ziwa.
# Mji wa Salami
Mji wa Salami ulikuwa katika kisiwa cha Kipro.
# Sinagogi la Wayahudi
Maana inayowezekana; 1) "Kulikuwa na masinagogi mengi ya Wayahudi katika mji wa Salami mahali Barnaba na Sauli walihubiri" au 2) Barnaba na Sauli waliaza kuhubiri ndani ya Sinagogi katika mji wa Salami na kuendelea kuhubiri katika Masinagogi waliyoyaona wakati wakisafiri kuzunguka kisiwa hicho cha Kipro
# walikuwa pamoja na Yohana Marko kama msaidizi wao.
"Yohana Marko alisafiri pamoja nao na alikuwa akiwasaidia"
# Msaidizi
"Aliyewahudumia"