sw_tn/act/12/18.md

33 lines
684 B
Markdown

# Sasa
Hili limetumika kutenganisha simulizi. Muda umekwishapita, sasa ni siku nyingine.
# Kulipokuwa mchana,
"Saa ya asubuhi"
# kukawa na huzuni kubwa
Kinyume cha huzuni kubwa ni "Furaha kubwa" Askari hao hawakuwa na furaha hiyo tena.
# Furaha kubwa
Hili linaelezea kinyume cha furaha kama; Msongo wa mawazo, mashaka, hofu na kuchanganyikiwa.
# kuhusu
"Kuhusiana na"
# Baada ya Herode kumtafuta na hakumwona
"Herode alimtafuta Petro na kushindwa kumpata"
# akawauliza walinzi na akaamuru wauawe
Ilikuwa ni adhabu ya kawaida kwa serikali ya Rumi kuua walinzi kama mfungwa wao aliwatoroka.
# Akaenda kutoka uyahudi mpaka Kaisaria
Kaisaria ilikuwa chini zaidi ya Yudea.