sw_tn/act/10/30.md

41 lines
1.0 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi:
Kornelio akajibu swali la Petro.
# Maelezo ya jumla:
Mstari wa 31na 32 Kornelio ananukuu kile malaika alisema alipojitokeza kwake wakati wa saa tisa.
# Siku nne zilizopita
Kornerio anafafanua juu ya siku kabla ya usiku wa siku kabla ile kabla hajaongea na Petro. Utamaduni wa Kibiblia unahesabu siku hiyo. Hivyo kabla ya siku tatu zilizopitz za usiku ilihesabiwa kuwa "siku ya nne iliyopita." Mila za Magharibi ya sasa, hii inawezakuwa, "Siku tatu zilizopita."
# Wakati nikiomba
maandiko ya kale yanasema "kufunga na kuomba" badala ya kuomba tu"
# muda wa saa tisa
Mchana wa kawaida ni wakati wa Wayahudi kuomba kwa Mungu.
# maombi yako yamesikiwa na Mungu
Inamaanisha Mungu amesikia maombi yako
# ukumbusho mbele za Mungu
"Mungu amekuletea ukumbusho" Hii haimanishi kuwa Mungu alikuwa amesahau.
# akamwite mtu mmoja anayeitwa Simoni aje kwako
"Mwambie Simoni anayeitwa Petro kuja kwako"
# Umetenda wema kuja
Hii ni namna ya heshima ya kumshukuru Petro kwa kuja kwake.
# katika macho ya Mungu
Hii inadhihirisha uwepo wa Mungu.