sw_tn/act/08/24.md

9 lines
253 B
Markdown

# Mambo yote mliozungumza yaweza kunitokea
Ujumbe unaweza kuzungumzwa kwa namna nyingine; "Mambo mliyoyazungumza yasiweze kutokea kwangu"
# Mambo yote mliozungumza yaweza kunitokea
Ni kemeo la Petro juu ya Simeoni kuadhibiwa kwake na pesa yake pia.