sw_tn/act/08/06.md

17 lines
464 B
Markdown

# Wakati makutano ya watu
"Wakati makutano ya watu kutoka mji wa Samaria." Lilikuwa eneo lililobainishwa huko nyuma
# Wakaweka umakini
Sababu ya watu kuweka umakini ilikuwa ni uponyaji wote alioufanya Filipo.
# Kutoka hapo watu wengi waliosikia, pepo wachafu waliwatoka watu huku wakilia kwa sauti kubwa
"roho wachafu walikuwa wakipaza sauti na kutoka kwa watu waliokuwa nayo.
# Na kulikuwa na furaha kubwa katika mji.
Watu wa mji walikuwa na furaha kubwa