sw_tn/act/06/12.md

25 lines
560 B
Markdown

# Kuwashurutisha watu
"kuwahamasisha watu kwa kiwango cha kuwa na hasira"
# na kumwendea Stefano
Kisha wote wakamwendea kwa nguvu
# Kumkamata
"kumshika kwa nguvu"
# mtu huyu haachi kunena
anaendelea kunena mara zote.
# Kila mmoja aliyekuwa katika baraza, akaelekeza macho yake kumwangalia Stefano
"kuangalia kwa shauku kwake." Hii ni msemo ukimaanisha kuelekeza macho kwake."
# Alikuwa kama uso wa malaika
Hii ni tabasamu kama kulinganisha na kiwango cha mfanano unaofanana na kuwa "mng'ao" ambao haujasemwa. "alikuwa anang'aa kama uso wa malaika"