sw_tn/act/06/05.md

17 lines
449 B
Markdown

# Hotuba yao ikaupendeza mkutano wote
Hotuba yao ilikubaliwa, pendekezo lilikubaliwa na jamii yote ya waumini.
# Stefano...na Nikolao
Haya ni majina ya kigiriki, na mapendekezo yalikuwa kwamba wanaume walioteuliwa walikuwa zaidi au wote kutoka kundi la waumini wa wayahudi wa kigiriki.
# Mwongofu
"Mtu wa mataifa aliyeamini dini ya kiyahudi"
# Waliweka mikono yao juu yao
Kuwapa baraka na kuwakabidhi wajibu na mamlaka kwa kazi ya watu saba