sw_tn/act/05/12.md

17 lines
528 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Luka anaendelea kuwaambia wasomaji kile kilichotokea siku za mwanzoni mwa kanisa Yerusalemu.
# Ishara nyingi na maajabu vilikuwa vinatokea miongoni mwa watu kupitia mikono ya mitume
Miujiza na ajabu nyingi ilitendwa miongoni mwa watu kupitia mikono ya mitume.
# ukumbi wa Sulemani.
Hili lilikuwa ni eneo Njia ya kutembea lililokuwa limezungukwa na nguzo zilizojengwa kushikilia paa ambalo watu waliliita Mfalme Sulemani.
# walipewa heshima ya juu na watu.
Watu waliwaonyesha waumini heshima ya juu.