sw_tn/act/04/08.md

17 lines
613 B
Markdown

# Kisha, Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu
Roho Mtakatifu akiwa amemjaza Petro.
# kama sisi siku ya leo tunahojiwa kuhusu tendo jema lililofanywa kwa mtu huyu mgonjwa - kwa namna gani mtu huyu alifanywa mzima?
Petro aliuliza swali hili kufafanua kwamba ilikuwa sababu halisi ya kuteswa kwao. Mnatuuliza leo kwa namna gani mtu huyu amepata kupona.
# Hebu lijulikane hilo kwenu na kwa watu wote katika Israel
Na ijulikane kwenu na watu wote wa Israel kujua hili.
# kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti,
Neno "Jina" linafafanua nguvu na mamlaka ya jina hilo. Kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo wa Nazarethi.