sw_tn/2ti/02/03.md

37 lines
1.2 KiB
Markdown

# Shiriki mateso nami
Maana inawezekana ni 1) 'kuvumilia mateso kama mimi' (UDB) au 2) 'kushiriki katika mateso yangu'
# Hakuna askari atumikae wakati akijihusisha na shughuli za maisha haya
"Hakuna askari atumikae wakati yeye hushiriki katika shuughuli ya kila siku ya maisha haya" au 'Wakati askari wanatumikia, hawana kupata mambo ya kawaida ambayo watu kufanya" watumishi wa Kristo lazima wasiruhusu maisha ya kila siku kuwaweka kutoka kufanya kazi kwa Kristo
# Kama askari mzuri wa Kristo Yesu
Paulo anayafananisha mateso kwa ajili ya Kristo Yesu na mateso anayoyavumilia askari mzuri"
# Afisa mkuu
"mmoja wapo aliyempendekeza yeye kama askari
# mwanamichezo.... si taji isipokuwa awe ameshindana kwa sheria
watumishi wa Kristo inahitajika kufanya kile ambacho Kristo anasema kifanyike.
# yeye sio taji isipokuwa awe ameshindana kwa sheria
"Wao watamvika taji yeye kama mshindi pekee ikiwa ameshindana kwa sheria
# yeye hatapewa taji
"yeye hakusinda tuzo"
# Kushinda kwa sheria
"Inashindana kwa mujibu wa sheria" au "madhubuti kumt'ii sheria"
# wakati huo huo akijihusisha
Paulo anazungumzia uharibifu huu kama vile mtego unaowatega watu wakiwa wanatembea.