sw_tn/2sa/03/31.md

9 lines
233 B
Markdown

# Rarua mavazi yako, vaa gunia
Haya yalikuwa matendo ya kuonesha uzuni.
# Mfalme alilia kwa sauti
Maneno "alilia" na "alilia kwa sauti" kwa kawaida yanamaanisha kitu kimoja na yanasisitiza jinsi gani Daudi alimwombolezea Abneri.