sw_tn/2pe/03/11.md

21 lines
807 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Petro anaanza kwa kuwaambia wakristo namna watakavyo ishi wakati wanasubiri siku ya Bwana.
# Kwa kuwa vitu vyote vitateketezwa kwa njii hii.
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Tangu Mungu atahukumu mambo haya yote katika njia hii"
# je utakuwa mtu wa aina gani?
Petro anatumia swali la kejeli kusisitiza kile atakachosema badae, kwamba "wanapaswa kuishi maisha ya utakatifu na utaua" "unajua ni aina gani ya watu wanapaswa kuwa"
# mbingu itateketezwa kwa moto, na vitu vitayeyushwa katika joto kali
Hii inaweza kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu ataangamiza mbingu kwa moto, na ataviyeyusha
# sehemu ambayo watakatifu wataishi
Petro anazungumza juu ya "utakatifu" kama ilivyokuwa kwa mtu. HIki ni kirai cha watu anaishi au sehemu ya watu watakao ishi kwa utakatifu.