sw_tn/2ki/23/06.md

13 lines
440 B
Markdown

# Maelzo ya Jumla
Hii inaendelea kueleza kile ambacho mflme Yosia alichokifanya katika kujibu ujumbe kutoka kwa Yahwe.
# Akaiondoa ... na kuichoma ... Akaipiga ... na kuitupa ... Akavisafisha
Mifano yote ya "Yeye" inamrejea Yosia, lakini inaweza kuwa bora kutafsiri ili kwamba msomaji awaelewe hao watu wengine, huenda Hilkia na "makuhani chini yake" (23:4), yawezekana wamemsaidia Yosia kwa haya mambo.
# kushona nguo
"tengeza nguo"