forked from WA-Catalog/sw_tn
982 B
982 B
Aidha
"Vile vile" au "Kwa kuongeza"
Manase akazimwaga damu nyingi za wasio na hatia
Maneno "kumwaga damu nyingi" ni picha ya ya kuua watu kwa nguvu. "Manase aliagiza maaskari wake kuwaua watu wengi wasiokuwa na hatia"
alipoijaza Yerusalemu kutoka upande huu kwenda mwingine kwa kifo
Hii mbalagha inaweka msisitizo namba kubwa ya watu Manase aliwauwa popote Yerusalemu. "kifo" kinaweza kuelezwa kama "watu waliokufa"." "kulikuwa na watu wengi waliokufa Yerusalemu kote"
yale yaliyo maovu usoni mwa Yahwe
"uovu" mambo ambayo ni mabaya. Hapa "uso" wa Yahwe unarejea ambavyo ahukumuvyo au kuamua juu ya thamani ya jambo.
hayajaandikwa ... Yuda?
Swali halina majibu na linatumika kwa ajili ya kusisitiza.
kulala na baba zake na
Hii ni lugha ya upole ya kusema ali "kufa," kama baba zake walivyo lala, na"
bustani ya Uza
Maana ziwezekanazo 1) "bustani ambayo ilyokuwa ikimilikiwa na mtu aitwaye Uza" au 2) "Bustani ya Uza."
Amoni
Hili ni jina la mwanamume