forked from WA-Catalog/sw_tn
477 B
477 B
sanamu," kwa hiyo Yahwe, Mungu wa Israeli, asema, "Tazama
Tafsiri hii inaeleweka maneno "kwa hiyo ... asema" manabii wanaotarajiwa. Maana nyingine iwezekanayo ni kwamba Yahwe anarejea kwake mwenyewe kana kwamba alikuwa mtu mwingine: "sanamu. Kwa hiyo Yahwe, Mungu wa Israli, asema, 'Tazama ... ona."
kila alisikiaye, masikio yake yote yatang'aa
Hisia halisi ni ishara kwa ajili ya mhemko wa hisiaambao unaoisababisha. "wale wasikiao kile Yahwe afanyacho, kitashtusha."