forked from WA-Catalog/sw_tn
456 B
456 B
Maelezo ya Jumla:
Ujumbe wa falme Senakaribu kwa Mfalme Ahazi unaendelea.
miungu wa mataifa wamewaokoa
Hili swali linaonyesha Hezekia anajua jibu na kupatia msisitizo. "miungu wa mataifa hawakuwaokoa bila shaka"
baba zangu
"wafalme wa Ashuru aliyepita" au "majeshi yaliyopita ya wafalme wa Ashuru" (UDB)
Gozani ... Harani ... Resefu ... Edeni ... Telasar ...Hamathi ... Arpadi ... Sefarvaimu ... Hena ... Iva
Haya yote ni majina ya mahali.