forked from WA-Catalog/sw_tn
522 B
522 B
nitaweka roho ndani yake, na yamkini atasikia taarifa na kurudi kwenye nchi yake mwenyewe
"Nitatawala mtazamo wa mfalme wa Ashuru, hivyo wakati asikiapo taarifa, atataka kurudi kwenye nchi yake mwenyewe"
nitaweka roho katika yeye
Hapa "roho" huenda linarejea kwa mtazamo wake na mawazo, kuliko kuliko ukiroho. "nitashawishi kufikiri kwake" au "nitamfanya kufikiria tofauti"
nitamfanya afe kwa upanga
"Kuanguka kwa upanga" ni picha ya kuuawa. "nitamfanya afe kwa upanga" au "nitawafanya watu wamuue kwa upanga"