nyumba ya Yahwe
Hii ni njia nyingine ya kusema "hekalu la Yahwe."
Eliakimu ... Shebna ... Isaya ... Amozi
Haya ni majina ya wanaume.
Alimtuma Eliakimu
"Hezekia alimtuma Eliakimu"
wote walikuwa wamefunikwa na nguo za magunia
"wote waliovaa nguo za magunia"