forked from WA-Catalog/sw_tn
367 B
367 B
Hala ... Mto Habori ... Gozani
Haya ni majina ya mahali.
Wamedi
Hili ni jina la kundi la watu.
Basi mfalme wa Ashuru akawachukua Israeli kwenda Ashuru
"Hivyo mfalme wa Ashuru aliliamuru jeshi lake kuwachukua Waisraeli mbali kutoka nyumba zao, na kuwafanya waishi Ashuru"
sauti ya Yahwe
"Sauti" ni picha ya ujumbe kuhusu amri ya Yahwe. "amri ya Yahwe"