forked from WA-Catalog/sw_tn
672 B
672 B
yalikuwa machungu sana
Kuteseka ilikuwa vigumu ilizungumziwa kana kwamba ilikuwa ladha chungu. "ilikuwa chungu sana"
hapakuwa na mwokozi kwa ajili ya israeli
"hapakuwa na mtu yeyote angeweza kuiokoa israeli"
kufuta
Kuiangamiza Israeli kabisa inazungumziwa kana kwamba Yahwe amewasafisha kwa nguo. "angamiza kabisa"
jina la Israeli
Hapa "jina la Israeli" linawakilisha Israeli yote na wenyeji wake. "watu wa Israeli"
chini ya mbingu
"juu ya nchi"
aliwaokoa kwa mkono wa Yeroboamu mwana Yehoashi
Hapa "mkono" unarejea kwa uweza. Yeroboamu aliwashinda maadui wa Israeli kwa msaada wa jeshi lake. "alimuwezesha Mfalme Yeroboamu na jeshi lake kuwaokoa"