forked from WA-Catalog/sw_tn
633 B
633 B
Sasa
"Wakati ule"
mwanzoni mwa mwaka
"kila mwaka majira ya machipuko" (UDB)
Walipokuwa wakimzika mtu flani
"Kama baadhi ya Waisraeli walipokuwa wakiuzika mwili wa mtu"
waliona kundi la Wamoabu
Inaweza kuwekwa wazi kwamba walikuwa wakiogopa Wamoabu. "waliona kundi la Wamoabu washambuliaji wakija kuwaelekea na waliogopa"
kaburi la Elisha
"kaburi ambalo Elisha alizikwa"
Mara yule mtu alipoigusa mifupa ya Elisha
Hapa "mtu" inarejea kwa maiti yake. Hii inaweza kuwekwa wazi. ""Mara alipokufa mwili wake uliigusa mifupa ya Elisha"
alifika na kusimama kwa miguu yake
"maiti ya mtu ilifufuka na kusimama juu"