forked from WA-Catalog/sw_tn
687 B
687 B
Badala yake
"Badala ya makuhani kukusanya pesa"
upande wa kulia kama mtu anaingia kwenye madhabahu ya Yahwe
"upande wa kulia wa kuingia kwenye hekalu"
weka kwenye
"weka kwenye kasha" au "kuweka kwenye sanduku" (UDB)
pesa ambazo zilizokuwa zimeletwa
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "pesa ambazo watu walizileta"
kuweka pesa katika mfuko na kisha kuzihesabu
Matoleo mengi yanaiweka hii katika mpango wa mantiki kama vile "kuhesabu pesa na kuziweka katika mifuko."
weka pesa kwenye mifuko
Maana ziwezekanazo ni 1) "kuweka pesa katika mifuko" au 2) "kufunga pesa juu katika mifuko" (UDB).
pesa zilipatikana
"pesa zilizokuwa zimepatikana katika kasha"