sw_tn/2ki/10/08.md

610 B

wa wana wa mfalme

"wa ukoo wa Ahabu" (UDB)

Yehu alitoka na kusimama

"Yehu alienda kwenye lango la mji na kusimama mbele ya watu"

huna hatia

Inaweza kuelezwa wazi walikuwa hawana hatia kwa lipi. "Huna hatia kwa kile kilichotokea kwa Yoramu na familia yake" au "Huna hatia kwa hili jambo"

Ona

Yehu anatumia hili neno hapa kuleta usikivu wa watu kwa kile anachotaka kukisema"

lakini ni nani aliyewaua hawa wote?

Yehu anatumika swali lisilo hitaji majibu kuwafanya watu kufikiria kwa undani kuhusu hii hali. Hii inaweza kuandikwa kama sentensi. "lakini ilikuwa mapenzi ya Yahwe hawa watu kufa"