sw_tn/2ki/08/28.md

620 B

Ahazia akaenda pamoja na Yoramu mwana wa Ahabu, kupigana dhidi ya Hazaeli, mfalme wa Shamu

Majina ya wafalme watatu wametajwa hapa ni maneno yenye maana sawa na pia yanareje kwa adui zao ambao walioongozana nao. Jeshi la Ahazia lilijiunga na jeshi la Mfalme Yoramu wa Israeli kupigana juu ya jeshi la Mfalme Hazaeli wa Shami" (UDB)

kuponywa

Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. au "kupona"

juu ya Hazaeli mfalme wa Shami

Hapa "Hazaeli" inamrejea mwenyewe na jeshi lake. "jeshi la Hazaeli mfalme wa Shami"

Yoramu alijeruhuiwa

Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "Washami walimjeruhi Yoramu"